segunda-feira, 6 de fevereiro de 2012

Karibu Tanzania karibu Brazil!!!

           Kwa mara ya kwanza ninafungua blog ya watanzania wanaoishi Brazil ili kujaribu kutuleta karibu wabongo wooote walio ndani ya nchi hii. pia wanakaribishwa woote kutoa maoni na habari toka nyumbani. Hili ni jaribio la pili rasmi baada ya jaribio langu la awali kupitia facebook nililolifanya nikiwa Maputo, nilipofungua ukurasa wa marafikia wa Taznaina walio nje ya Tanzania, sasa ninakuja na hii.


          Hii imechangiwa na ukweli kwamba tupo nyuma sana kimaendeleo ya technologia ya mawasiliano, kwamba hadi leo ninafungua hii blog hakuna blog wala website ya Tanzania ubalozini Brasilia, na kuna wakati nilipata tabu kubwa kujua kushusu ubalozi wetu Brasil. Sasa nawakaribisha wooote kuingia hapa, ni mahali tutakapopata habari mbalimbali.
 Karibuni

Heradius Germanus Mbeyela

Nenhum comentário:

Postar um comentário